Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 70:
Pale ambako mabamba yanapakana, [[volkeno]] nyingi zinapatikana na [[matetemeko ya ardhi]] hutokea.
 
== Uga sumakuUgasumaku wa dunia ==
[[Picha:Uga sumaku unakinga dunia.png|450px|thumbnail|[[Mnururisho]] unavyotoka kwenye jua na kukengeushwa na mistari ya nguvu ya sumaku ya uga sumakuugasumaku wa dunia]]
Dunia inazungukwa na [[uga sumaku]] yaani mistari ya nguvu ya [[kisumaku]]. Sababu yake ni kwamba [[kiini cha dunia]] kinafanywa na [[chuma]] chenye tabia kama [[sumaku]] kubwa.
 
Tabia hiyo inasababishwa na mwendo wa mikondo ya chuma cha moto kilichoyeyuka katika kiini cha nje cha dunia. Mistari ya nguvu ya sumaku inatoka nje kwenye ncha ya kusini na kurudi ndani ya dunia kwenye ncha ya kaskazini. Tabia hiyo ni msingi wa kazi ya [[dira]] ambamo sindano ya dira huvutwa daima na ncha sumaku ya dunia na kuelekea kaskazini muda wote.
 
Uga sumakuUgasumaku wa dunia ni [[kinga]] muhimu kwa uhai wote duniani. Dunia inapigwa muda wote na [[mnururisho]] kutoka jua kwa njia ya "[[upepo wa jua]]". Mnururisho huo ni [[nuru]] pamoja miale ya hatari. Uga sumakuUgasumaku unakengeusha sehemu kubwa ya mnururisho hatari hadi unapita kando ya dunia na kutofika kwenye uso wa dunia.
 
== Dunia kama mahali pa uhai ==