Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 110:
 
== Angahewa ==
Hewa iliyoko juu ya ardhi vile vile ina matabaka mbalimbali, na kila tabaka lina kazi yake. Hewa kwa jumla ina masafa ya kiasi cha kilomita 560 au [[maili]] 348 kuendea juu, na baada ya hapo unaingia kwenye anga la nje. Hewa hiyo ndiyo inayotukingainayokinga sisi viumbeviumbehai na ma[[dharamadhara]] ya juaJua na mnururisho wa angani ambao unaingia anga ya dunia na kuteremka chini.
 
== Tazama pia ==