Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Kuna galaksi nyingi sana [[ulimwengu]]ni. Kwa [[wastani]] kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama [[bilioni]] 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
 
Galaksi yetu, ikiwemo [[mfumo wa jua|mfumo wetu wa jua]], imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya [[bilioni]] 300,000,000,000 (3·10<sup>11</sup>). Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama [[kanda]] la kung'aa kwenye [[anga]] la [[usiku]] linalojulikana kwa [[rangi]] yake kama [[njia nyeupe]] au "njia ya [[maziwa]]"<ref>Maziwa (mfano maziwa ya ng'ombe) kwa [[Kigiriki]] huitwa "γάλα gala" na hapo asili ya jina "galaksi".</ref>. Umbo lake linafanana na kisahani kikiwa na [[kipenyo]] cha [[mwakanuru|miakanuru]] 100,000 na kikiwa na [[unene]] wa miakanuru 3,000.
 
Kwenye kitovu cha galaksi graviti ni kubwa sana kiasa cha kwamba galaksi nyingi huaminiwa kuwa na [[shimo jeusi]] kituvoni<ref>[https://www.nrao.edu/pr/2005/sagastar/ Astronomers Get Closest Look Yet At Milky Way's Mysterious Core], tovuti ya National Radio Astronomy Observatory, Marekani, iliangaliwa Machi 2019 </ref>.