Galileo Galilei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
== Ujana wake ==
[[Baba]] yake alikuwa [[mfanyabiashara]] aliyejishughulisha pia na masuala ya hisabati.
 
Galileo alisomeshwa kwenye [[shule ya monasteri]] akaendelea kusoma [[tiba]] [[mji|mjini]] [[Firenze]] lakini akaacha masomo hayo akachukua hisabati badala yake.
 
== Kanuni za anguko ==
Miaka [[1589]] - [[1592]] alipata nafasi ya kuwakama [[profesa]] wa hisabati kwenye [[chuo kikuu]] cha [[Pisa]]. Hapo alifanya [[utafiti]] juu ya [[kanuni za anguko]] la [[gimba|magimba]]. Aliweza kuonyesha kwamba magimba yote huanguka kwa kasimkasi ileileuleule yakianguka pasipo [[hewa]] kama ni makubwa au madogo. Kwa tamko hili alionekana kumpinga [[Aristoteles]] aliyepokewa na wataalamu na [[Kanisa]] kama msingi wa utaalamu wote.
 
== Astronomia na darubini ==
Alihamia chuo kikuu cha [[Padua]] alipofanya kazi kati ya 1592 na [[1610]]. Alisikia kuhusu [[chombo]] kipya cha [[darubini]] (kionambali) kilichobuniwa na [[Mholanzi]] [[Hans Lipperhey]] akaiiga na kujenga ya kwake. Alikuwa mtu wa kwanza aliyetumia chombo hicho kwa kutazama [[Mwezi (gimba la angani)|mwezi]], [[sayari]] na [[nyota]]. Aliona [[milima]] kwenye mwezi akawa mtu wa kwanza aliyeona miezi ya sayari [[Mshtarii]].
 
Vilevile aliweza kuangalia sayari [[Ng'anduZuhura]] (Zuhura/pia Ng'andu, lat. Venus) jinsi ilivyoonyesha awamu sawa na mwezi zilizoonekana kama [[mwezi mwandamo]], [[nusu mwezi]] au [[mwezi mpevu]]. Aliona pia [[madoa ya jua]].
 
Mwaka [[1610]] [[mtawala]] wa [[Toscana]], [[Cosimo II]] kutoka [[nasaba]] ya [[Medici]], aliyewahi kuwa [[mwanafunzi]] wake, alimkaribisha kuwa mwanahisabati mkuu na pia profesa huko Pisa.
 
Alipendwa na watu wengi, pia na [[kardinali]] [[Maffeo Barberini]] aliyechaguliwaaliyeendelea baadayekufanya hivyo baada ya kuchaguliwa kuwa [[Papa Urban VIII]].
 
== Kesi ya Kanisa dhidi yake ==
Mstari 32:
 
[[Mwaka]] [[1992]] [[Papa Yohane Paulo II]] alisema hivi kuhusu kesi dhidi ya Galilei:
"« Kama wapinzani wake walio wengi, Galileo hakutofautisha mtazamo wa sayansi kuhusu mambo ya kimaumbile na fikra za kifalsafa juu ya maumbile ambazo kwa kawaida zinadaiwa nao. Ndiyo sababu alikataa pendekezo alilopewa la kuita 'dhana' mafundisho ya Kopernicus, hadi yathibitishwe moja kwa moja, ingawa hilo lilikuwa sharti la mbinu ya majaribio aliyoibuni mwenyewe kwa akili kubwa. [...] Kumbe, suala walilojiuliza wanateolojia wa wakati huo lilikuwa lile la ulinganifu wa mafundisho ya jua kuwa kiini cha ulimwengu na Maandiko Matakatifu. Hivyo sayansi mpya, kwa mbinu zake na uhuru wa ukufanya utafiti unaodaiwa nazo, ililazimisha wanateolojia kujiuliza juu ya vigezo vyao vya kufafanulia Maandiko. Wengi wao wakashindwa kufanya hivyo. Ajabu, Galileo, mwamini mnyofu, alijitokeza anaelewa kuliko wanateolojia waliompinga kuhusu jambo hilo." » (Yohane Paulo II kwa wanasayansi wa Akademia ya Kipapa ya Sayansi, 31 Oktoba 1992)
 
==Viungo vya nje==