Ghurabu (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image: Ghurabu Corvus.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Ghurabu (Corvus) katika sehemu yao ya angani]]
 
'''Ghurabu''' (kwa maana „kunguru“ , kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] '''[[:en:Corvus|Corvus]]''') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Corvus" katika lugha ya [[Kilatini]] ni " Corvi" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Corvi, nk.</ref>. ni [[jina]] la [[kundinyota]] kwenye [[nusutufe ya kusiniangakusi]] ya [[dunia]] yetu.
 
==Mahali pake==
Ghurabu iko jirani na kundinyota yala [[NadhifaMashuke (kundinyota)|NadhifaMashuke]] ''(Virgo)'' na nyota yake angavu [[Sumbula]] ''([[:en:Spica|Spica]])''. KundinyotaMakundinyota jirani nimengine piani [[Shuja(kundinyota)|Shuja]] ''([[:en:Hydra]]'') na [[Batiya(kundinyota)|Batiya]] ''([[:en:Crater]])''. Nyota zake angavu zaidi zina umbo la pembenne.
 
==Jina==
Ghurabu ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina la Ghurabu limepokelewa kutoka kwa Waarabu wanaosema <big>الغراب</big> ''al-ghurab'' na hao walitafsiri jina la Wagiriki wa Kale walioona hapa ndege wa kunguru na kuiitakumwita Κόραξ ''koraks''<ref>Jina la Kigiriki "koraks" linaiga sauti ya ndege mwenyewe</ref>, lililotafsiriwa kwa Kilatini kama "Corvus" ambalo ni sasa jina la kimataifa.
 
Katika [[mitholojia ya Kigiriki]] kuna hadithi jinsi gani mungu Apollo alimtuma ndege ya kunguru (Ghurabu) kumchukulia maji kwa bakuli lakini ndege alichelewa kwa sababu alikula matunda njiani. Aliporudi akaeleza kuchelewa kwake kwa uwongo ya kuwa nyoka alimzuia akamwonyesha nyoka kwa kuishika kwenye miguu yake. Apollo alijua ni uwongo akakasirika na kumrusha kunguru (Ghurabu-Corvus) pamoja na bakuli (Batiya-Crater) na nyoka (Shuja-Hydra) kwenye anga wanapokaa kama nyota. Alimwadhibu ndege kwa kuweka bakuli ya maji (Batiya-Crater) karibu naye lakini hawezi kunywa.<ref>Allen, Star-Names and their Meanings uk 180 na [http://www.constellation-guide.com/constellation-list/crater-constellation/ Crater Constellation - Myth], tovuti ya Constellation Guide, iliangaliwa Septemba 2017</ref>
 
Ghurabu ni kati ya kundinyotamakundinyota 48 zilizotajwayaliyotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia katika orodha ya kundinyotamakundinyota 88 ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Corvus. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[UKIA]] ni 'Crv'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==
Nyota angavu zaidi ni [[Jinaha la Ghurabu]] au '''γ''' Corvi yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa mag 2.6. Iko kwa umbali wa [[miaka ya nurumiakanuru]] 190 kutoka Dunia na rangi yake ni buluu-nyeupe.
 
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="margin-left:0.5em; background:#CDC9C9;"