Gamma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 2:
'''Gamma''' ni herufi ya tatu katika [[Alfabeti ya Kigiriki]]. Inaandikwa '''Γ''' (herufi kubwa ya mwanzo) au '''γ''' (herufi ndogo ya kawaida). Zamani ilikuwa pia alama kwa [[namba]] [[3]].
 
Asili ya gamma ni herufi ya [[kifinisiaKifinisia]] ya gimel ([[G|tazama makala ya G]]). Matamshi yake ni kama [[G]] ya Kiswahili.
 
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fizikia]]. Imejulikana hasa kama jina la pembe ya tatu katika [[pembetatu]].