Kilatini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎top: kuondoa kiungo cha ramani using AWB
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Systema Naturae cover.jpg|thumb|200px|<sup>'''Systema Naturae''' ni kitabu maarufu kilichoandikwa manmo 1735 kwa Kilatini na [[Carl Linnaeus]] ni msingi wa [[uainishaji wa kisayansi]] wa mimea na wanyama hadi leo</sup>]]
'''Kilatini''' ni [[lugha]] ya kihistoria ambayo siku hizi haina tena wasemaji kama [[lugha ya kwanza]], lakini bado hufundishwa katika [[shule]] na [[chuo kikuu|vyuo]] na hata kutumiwa kama lugha ya pili. Ilikuwa pia lugha ya kimataifa ya elimu na [[istilahi za kisayansi|istilahi nyingi za kisayansi]] zimetoka katika Kilatini.

Kilatini ilikuwa lugha hai takriban kati ya 500 KK na 600 BK na baadaye [[lahaja]] zake ziliendelea kuwa lugha za pekee zinazojulikana kama [[lugha za Kirumi]].
 
Kilatini ni pia jina la [[mwandiko]] au aina ya [[herufi]] ([[alfabeti ya Kilatini]]) inayotumika kwa lugha nyingi duniani. Hata [[Kiswahili]] huandikwa siku hizi kwa herufi za Kilatini kama kwa mfano ukurasa huu wa wikipedia.
Line 6 ⟶ 8:
Kilikuwa
* lugha ya [[Dola la Roma]] (angalia pia [[Roma ya Kale]])
* lugha mama ya [[lahaja]] zilizoendelea kuwa [[lugha za Kirumi]] kama [[Kiitalia]], [[Kihispania]], [[Kireno]], [[Kifaransa]] na [[Kiromania]]
* lugha ya elimu na sayansi katika [[Ulaya]] kwa karne nyingi
* lugha rasmi ya [[serikali]] katika nchi nyingi za Ulaya kati ya mwisho wa Dola la Roma mwaka<!-- --> 476 BK hadi mnamo 1700 BK
Line 14 ⟶ 16:
* lugha ya kidini katika [[Kanisa Katoliki]]
* lugha rasmi katika nchi ya [[Vatikano]]
[[Picha:Map-Romance Language World.png|thumb|250px|Ramani ya uenezaji wa [[lugha za Kirumi]] za leo zilizotkana na Kilatini]].
 
Kilatini ina athira kubwa katika lugha ya [[sayansi]] na [[elimu]]. Hadi leo hufundishwa mashuleni hasa Ulaya kama lugha ya kigeni.
 
[[Kiswahili]] kimerithi maneno ya asili ya Kilatini hasa kupitia [[Kiingereza]] kilichopokea karibu asilimia sitini ya maneno yake yote kutoka Kilatini kupitia hasa Kifaransa. Maneno mengine ya Kilatini yameingia Kiswahili kupitia Kireno, Kifaransa n.k.
 
Kilatini huendelezwa na kukuzwa na wapenzi wa lugha. Kuna misamiati ya "Kilatini cha Kisasa" yenye maneno kwa ajili ya mitambo ya kisasa, mtandao n.k.. Wikipedia ya Kilatini inailifikia makala zaidi ya 54130,000 kwenye mwaka 2019.
 
== Tazama pia ==