Tofauti kati ya marekesbisho "Ibuti la Jauza"

no edit summary
[[File:Position Alpha Ori.png|thumb|right|230px|Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya '''[[α]]''' unaonyesha Ibuti la Jauza (Betelgeuse) katika kundinyota ya SayadiJabari ([[:en:Orion (constellation)|Orion]])]]
[[Picha:1996-04-a-web.jpg|thumb|300px|[[Ibuti la Jauza]] ([[:en:Betelgeuze|Betelgeuze]]) ni [[jitu jekundu]]; kushoto: inavyoonekana kwa darubini; kulia: [[Ibuti la Jauza]] ([[:en:Betelgeuze|Betelgeuze]]) ni nyota angavu juu kushoto kwenye [[kundinyota]] ya [[Jabari]] ([[:en:Orion|Orion]]) mara nyingi huonekana nyekundu kwa macho matupu.]]
'''Ibuti la Jauza''' ([[jina la kisayansi]] '''Alpha Orionis''', kwa [[Kiingereza]] '''''[[:en:Betelgeuse|Betelgeuse]]''''') ni [[nyota]] ya aina ya [[jitu jekundu]] inayoonekana katika [[kundinyota]] [[Jabari]] (''[[:en:Orion (constellation)|Orion]]'').