Ibuti la Jauza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 16:
[[Umri]] wa Ibuti la Jauza haukutimiza miaka [[milioni]] 10 lakini umeendelea haraka kutokana na [[masi]] yake kubwa. <ref>Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. ''Astronomical Society of the Pacific''. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: '''103'''. [http://arxiv.org/abs/0911.4720]</ref>
 
Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho za [[mageuzi ya nyota]] (''[[:en:stellar evolution|stellar evolution]]''). Katika kipindi cha miaka milioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama [[nyota ya nova]]. <ref>{{cite web|url=http://www.esa.int/Our_Activities/Space_Science/Betelgeuse_braces_for_a_collision |title=Betelgeuse braces for a collision |publisher=ESA |date=2013-01-22 |accessdate=2013-01-23 }}</ref>
 
== Tazama pia ==