Uvukizaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Uvukizaji''' (pia: '''mvukizo''') katika [[fizikia]] ni mwendo wa [[kiowevu]] (majimaji) kugeuka [[gesi]].
 
Kuna [[dutu]] kama [[maji]] zinazoanza kuvukiza kabla ya kufikia [[kiwango cha kuchemka]]. Viowevu vyote huvukiza vikifikia kiwango chaomaalumu cha kuchemka.
 
Kama [[molekuli]] katika kiowevu zinapashwa [[moto]] mwendo waowake unaongezeka. Zinagonganagongana na kuachana mbali zaidi hadi kuwa gesi.
 
Katika [[metorolojia]] uvukizaji ni hasa mwendo wa maji kuwa [[mvuke]] au gesi. Mwendo huu ni nguvu muhimu sana katika [[duara ya maji|duara ya maji duniani]]. Maji ya [[Bahari|baharini]] au [[unyevu]] nchini vinapashwa moto hasa na [[mionzi]] ya [[jua]] hadi kuwa mvuke unaopanda juu kuwakuunda [[mawingu]].
 
{{mbegu-sayansi}}