Uvukizaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Kama [[molekuli]] katika kiowevu zinapashwa [[moto]] mwendo wake unaongezeka. Zinagonganagongana na kuachana mbali zaidi hadi kuwa gesi.
 
Katika [[metorolojia]] uvukizaji ni hasa mwendo wa maji kuwa [[mvuke]] au gesi. Mwendo huu ni nguvu muhimu sana katika [[duara ya maji|duaradura ya maji]] [[duniani]]. Maji ya [[Bahari|baharini]] au [[unyevu]] nchini vinapashwa moto hasa na [[mionzi]] ya [[jua]] hadi kuwa mvuke unaopanda juu kuunda [[mawingu]].
 
{{mbegu-sayansi}}