Paul Pogba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Paul Pogba 2017.jpg|thumb|
'''Paul Labile Pogba''' (
Baada ya kuanza kazi yake na Manchester United mwaka 2011, Pogba alijiunga na timu ya [[
Ndani ya taifa lake alikuwa chini ya kiwango cha- 20,aliipatia taifa lake ushindiwa kombe la mataifa ya [[ulaya]] la [[FIFA U-20]] ndani ya mwaka 2013 na alichukua tuzo ya mchezaji bora kwa maonyesho yake wakati wa mashindano hayo. Alifanya timu yake ya ya taifa ya [[ufaransa]] kupata ushindi wa 3-1 dhidi ya [[Georgia]] mwaka2013 mwezi wa3 tarehe22 katika, na alifunga bao lake la kwanza la Kombe la Dunia mnamo Juni 30, 2014 dhidi ya [[Nigeria]]; alipewa tuzo ya mchezaji bora kijana kwa mbwembwe zake katika Kombe la Dunia la FIFA ndani ya mwaka 2014, baada ya kufikia robo ya mwisho. Baadaye aliwakilisha taifa lake katika [[UEFA Euro 2016]] kwenye [[udongo]] wa [[nyumban]]i, ambapo alifunga bao moja lililo dumu hadi mwisho wa mchezo
==
Pogba alizaliwa Lagny-sur-Marne, Seine-et-Marne, mzazi wake ni raia wa [[Guinea]]. Yeye ni Mwislamu. Ana kaka zake wawili ambao ni [[mapacha]] nao ni wacheza mpira wa miguu.
Pogba alianza kazi yake ya mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka sita akicheza huko [[Marekani]] [[Roissy-en-Brie]], kilomita chache kutoka kusini mwa jiji lake. Alitumia [[misimu]] saba kuchezea Roissy-en-briel kabla ya kujiunga na [[Us Torcy]], ambapo aliwahi kuwa [[nahodha]] wa timu ya watoto chini ya umri wa miaka 13
▲Pogba alianza kazi yake ya mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka sita akicheza huko [[Marekani]] [[Roissy-en-Brie]], kilomita chache kutoka kusini mwa jiji lake. Alitumia [[misimu]] saba kuchezea Roissy-en-briel kabla ya kujiunga na [[Us Torcy]], ambapo aliwahi kuwa [[nahodha]] wa timu ya watoto chini ya umri wa miaka 13 . Baada ya msimu mmoja kuisha akiwa klabu ya [[Torcy]], Pogba alijiunga na klabu ya wataalamu ya [[Le Havre]]. Katika msimu wake wa pili katika klabu hiyo, Pogba alikuwa nahodha katika timu na kuifiksha timu yake hadi [[fainali]], Championnat National ya watoto wenye umri chini ya miaka 16. ikaipa ushindi timu ya pogba ijulikanayo kama le havre na [[timu]] ya pogba ikawa ya [[kimataifa]]kwa kupata [[ushindi]]
▲{{mbegu-mtu}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1993]]
|