Mkataba wa Helgoland-Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
 
Pia uliwaachia Waingereza Usultani wa [[Witu]] uliokuwa tayari chini ya [[ulinzi]] wa Ujerumani tangu mwaka [[1885]] na madai yake kwenye pwani ya [[Kenya]] katika eneo la [[funguvisiwa ya Lamu]] na pwani ya [[Somalia]] hadi [[Kismayu]].
 
Menginevyo mkataba ulieleza mipaka baina ya maeneo chini ya athari ya Uingereza na athari ya Ujerumani. Hapa kuna pia kipengele kuhusu mipaka kwenye [[Ziwa Nyasa]] kilichounda msingi kwa kutoelewana baina ya Malawi na Tanzania kuhusu mipaka kwenye ziwa hili tangu uhuru.<ref>Article I ilisema: "In East Africa, Germany's sphere of influence is demarcated thus: ...2. To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma River to the point where the Messinge flows into the Rovuma. From here the line runs westward on the parallel of latitude to the shore of Lake Nyasa. Turning north, it continues along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe River...."</ref>
 
== Afrika ya Kusini-Magharibi ==
Line 28 ⟶ 30:
== Ulaya ==
Uingereza uliachia Ujerumani kisiwa cha [[Helgoland]] katika [[Bahari ya Kaskazini]]. Kisiwa hicho kiliwahi kuchukuliwa na Uingereza wakati wa [[vita]] dhidi ya [[Napoleon Bonaparte]] mwaka [[1807]] ikawa koloni la Kiingereza. Kisiwa kilidaiwa na Ujerumani kwa sababu kihistoria ni sehemu ya jimbo la [[Frisia ya Kaskazini]] lililokuwa sehemu ya Ujerumani baada ya kuhamishwa mara kadhaa kati ya Ujerumani na [[Denmark]].
 
==Marejeo==
<references/>
 
==Vyanzo na Viungo vya Nje==
*[http://germanhistorydocs.ghi-dc.org/pdf/eng/606_Anglo-German%20Treaty_110.pdf The Anglo-German Treaty (Heligoland–Zanzibar Treaty) 1 July 1890, Translation of the German version of the contract]
 
*[http://germanhistorydocs.ghi-dc.org/sub_document.cfm?document_id=782 Vertrag zwischen dem Deutschen Reich und dem Vereinigten Königreich über die Kolonien und Helgoland vom 1.&nbsp;Juli 1890], ''Deutsche Geschichte in Dokumenten und Bildern (DGDB)'', Transcription of: ''Das Staatsarchiv. Sammlung der offiziellen Aktenstücke zur Geschichte der Gegenwart'', Bd. 51, Duncker & Humblot, Leipzig 1891, S.&nbsp;151. {{de icon}}
 
*[http://scholarship.richmond.edu/masters-theses/694/ Yokell, Marshall A.: "The treaty of Helgoland-Zanzibar : the beginning of the end for the Anglo-German friendship?" (2010), Master's Theses, University of Richmond, Paper 694, includes the citation of the English version of the contract]
 
 
{{DEFAULTSORT:Helgoland-Zanzibar}}
[[Category:History of Zanzibar]]
[[Category:Legal history of German East Africa]]
[[Category:British colonisation in Africa]]
[[Category:German South West Africa]]
[[Category:Heligoland]]
[[Category:Treaties of the United Kingdom (1801–1922)]]
[[Category:Treaties concluded in 1890]]
[[Category:1890 in the United Kingdom]]
[[Category:1890 in Germany]]
[[Category:1890 in Zanzibar]]
[[Category:Germany–United Kingdom relations]]
[[Category:19th century in Africa]]
[[Category:Treaties of the German Empire]]
[[Category:Treaties entered into force in 1890]]
[[Category:Treaties extended to the Sultanate of Zanzibar]]
[[Category:British Heligoland]]
[[Category:Bilateral treaties of the United Kingdom]]
 
 
 
[[Jamii:Historia ya Afrika]]