Nyasa (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
Kuna [[ugomvi]] kati ya Malawi na Tanzania kuhusu mipaka. Malawi imedai ya kwamba maji yote hadi [[ufukwe|ufukoni]] upande wa Tanzania ni sehemu ya eneo lake la kitaifa. Tanzania imedai ya kwamba mpaka uwe katikati kufuatana na [[desturi]] za kimataifa.
 
Sababu ya mzozo ni utaratibu wa [[Ukoloni|kikoloni]]. Wakati wa kuundwa kwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] [[serikali]] za [[Uingereza]] na [[Ujerumani]] zilipatana kuhusu mipaka ya eneo la Kijerumani kwa kutaja mpaka ulifuata ufuko wa Ziwa Nyasa.<ref>"In East Africa, Germany's sphere of influence is demarcated thus: ... To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma River to the point where the Messinge flows into the Rovuma. From here the line runs westward on the parallel of latitude to the shore of Lake Nyasa. Turning north, it continues along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe River. " ([http://germanhistorydocs.ghi-dc.org/sub_document.cfm?document_id=782 Anglo-German Treaty [(Heligoland-Zanzibar Treaty]) (July 1, 1890), article I,2], tovuti ya http://germanhistorydocs.ghi-dc.org, mradi wa German Historical Institute Washington, DC, iliangaliwa Machi 2019</ref>
 
Baada ya mwaka [[1919]] [[Uingereza]] ilitawala [[Tanganyika]] pamoja na [[Malawi]] (Nyassaland), hivyo hakukuwa na shida.