Bibi Titi Mohammed : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Titi Mohamed.JPG|thumb|'''Waliosimama wa pili kushoto ni Ali Msham (Mwenyekiti wa Tawi la Magomeni Mapipa) na wa nne ni Bi. Khadija biti Jaffar wa tano Bi. Mtendwa biti Iddi Sudi, wa sita biti Feruzi wa saba Mama Tindwa waliokaa wa kwanza ni Mzee Mwinjuma Mwinyikambi na wa tatu ni Bi. Titi Mohamed na pembeni ni mwanae.''']]
{| class="infobox" style="width: 30%; text-align: left; font-size: 90%" cellspacing="2"
|-
Line 16 ⟶ 15:
|Novemba 5, 2000
|}
[[Picha:Titi Mohamed.JPG|thumb|'''Waliosimama wa pili kushoto ni Ali Msham (Mwenyekiti wa Tawi la Magomeni Mapipa) na, wa nne ni Bi. Khadija biti Jaffar, wa tano Bi. Mtendwa biti Iddi Sudi, wa sita biti Feruzi, wa saba Mama Tindwa. waliokaaWaliokaa wa kwanza ni Mzee Mwinjuma Mwinyikambi na, wa tatu ni Bi. Titi Mohamed na pembeni ni mwanae.''']]
'''Bibi Titi Mohammed''' ([[1926]] - [[5 Novemba]] [[2000]]) alikuwa mmoja wa [[wanawake]] wa kwanza mzalendo kushika nafasi za [[ubunge]] na [[uwaziri]] nchini [[Tanzania]]. Pia alikuwa kati ya wanawake wa kwanza kujiunga na harakati za kugombeakupigania [[uhuru]] wa [[Tanganyika]].
 
Mwaka [[1969]] Bibi Titi Mohammed alikamatwa na mwaka uliofuata alifikishwa [[Mahakama|mahakamani]] kwa kosa la kula [[njama]] ya kutaka kupindua [[serikali]]. Katika [[kesi]] hiyo, Bibi Titi alikuwa ni mwanamke pekee katika washtakiwa 7. Baada ya kesi hiyo kusikilizwa alipatikana na hatia na kuhukumiwa [[kifungo cha maisha]]. Hata hivyo, mwaka [[1972]] alisamehewa na rais [[Julius Nyerere]].
 
Juu ya kutolewa kwake, Mohammed aliongoza [[maisha]] yake akiwa mpweke. [[Mume]] wake alimtelekeza wakati wa kesi, ushirika wake wa kisiasa ukanyang'anywa, na [[Rafiki|marafiki]] zake wengi wakamlaniwakamlaani.
 
Mnamo mwaka wa [[1991]], wakati [[Tanzania]] ikisherekea miaka 30 ya uhuru, Bibi Titi ameonekana kwenye makaratasi[[maandishi]] ya [[chama tawala]] kama "Shujaa wa Kike Aliyepigania Uhuru".
Juu ya kutolewa kwake, Mohammed aliongoza maisha yake akiwa mpweke. Mume wake alimtelekeza wakati wa kesi, ushirika wake wa kisiasa ukanyang'anywa, na marafiki zake wengi wakamlani.
 
Mnamo tar.[[Tarehe]] [[5 Novemba]] [[2000]] Mohammed amekufaalifariki kwenye [[hospitali]] ya Net Care Hospital [[Mji|mjini]] [[Johannesburg]] ambapo alikuwa akitibiwa.<ref>[http://www.hartford-hwp.com/archives/36/342.html Makala kuhusu kufa kwa Mpigania Uhuru Bi. Titi Mohammed]</ref>
Mnamo mwaka wa 1991, wakati [[Tanzania]] ikisherekea miaka 30 ya uhuru, Bibi Titi ameonekana kwenye makaratasi ya chama tawala kama "Shujaa wa Kike Aliyepigania Uhuru".
 
Moja kati ya [[Barabara|mabarabara]] makubwa ya mjini[[Jiji|jijini]] [[Dar es Salaam]] yamepewalimepewa [[jina]] la Mohammed kwa [[heshima]] ya mafaniko makubwa aliyoyafanya wakati wa [[mbio]] za kutafuta uhuru wa Mtanzania.
Mnamo tar. [[5 Novemba]] [[2000]] Mohammed amekufa kwenye hospitali ya Net Care Hospital mjini [[Johannesburg]] ambapo alikuwa akitibiwa.<ref>[http://www.hartford-hwp.com/archives/36/342.html Makala kuhusu kufa kwa Mpigania Uhuru Bi. Titi Mohammed]</ref>
 
Moja kati ya mabarabara makubwa ya mjini [[Dar es Salaam]] yamepewa jina la Mohammed kwa heshima ya mafaniko makubwa aliyoyafanya wakati wa mbio za kutafuta uhuru wa Mtanzania.
 
== Marejeo ==
Line 35 ⟶ 34:
* http://www.gwsafrica.org/knowledge/bibi.html
* http://www.nationaudio.com/News/EastAfrican/081199/Features/PA3.html
 
 
{{Mbegu-mwanasiasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Bibi Titi Mohammed}}
[[Jamii:WaliofarikiWaliozaliwa 20001926]]
 
[[Jamii:Waliofariki 2000]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:WaliozaliwaWanasiasa 1926wanawake Tanzania]]
[[Jamii: Wanawake wa Tanzania]]
[[Jamii:Watu kutoka Dar es Salaam]]
[[Jamii:Waliofariki 2000]]
[[Jamii: Wanasiasa wanawake Tanzania]]
[[Jamii: Wanawake wa Tanzania]]