Bibi Titi Mohammed : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Titi Mohamed.JPG|thumb|Waliosimama wa pili kushoto ni Ali Msham (Mwenyekiti wa Tawi la Magomeni Mapipa), na wa nne ni Bi. Khadija biti Jaffar, wa tano Bi. Mtendwa biti Iddi Sudi, wa sita biti Feruzi, wa saba Mama Tindwa. Waliokaawaliokaa wa kwanza ni Mzee Mwinjuma Mwinyikambi, na wa tatu ni Bi. Titi Mohamed na pembeni ni mwanae.]]
{| class="infobox" style="width: 30%; text-align: left; font-size: 90%" cellspacing="2"
|-
Line 15 ⟶ 16:
|Novemba 5, 2000
|}
'''Bibi Titi Mohammed''' ([[1926]] - [[5 Novemba]] [[2000]]) alikuwa mmoja wa [[wanawake]] wa kwanza mzalendo kushika nafasi za [[ubunge]] na [[uwaziri]] nchini [[Tanzania]]. Pia alikuwa kati ya wanawake wa kwanza kujiunga na harakati za kupiganiakugombea [[uhuru]] wa [[Tanganyika]].
[[Picha:Titi Mohamed.JPG|thumb|Waliosimama wa pili kushoto ni Ali Msham (Mwenyekiti wa Tawi la Magomeni Mapipa), wa nne ni Bi. Khadija biti Jaffar, wa tano Bi. Mtendwa biti Iddi Sudi, wa sita biti Feruzi, wa saba Mama Tindwa. Waliokaa wa kwanza ni Mzee Mwinjuma Mwinyikambi, wa tatu ni Bi. Titi Mohamed na pembeni ni mwanae.]]
'''Bibi Titi Mohammed''' ([[1926]] - [[5 Novemba]] [[2000]]) alikuwa mmoja wa [[wanawake]] wa kwanza mzalendo kushika nafasi za [[ubunge]] na [[uwaziri]] nchini [[Tanzania]]. Pia alikuwa kati ya wanawake wa kwanza kujiunga na harakati za kupigania [[uhuru]] wa [[Tanganyika]].
 
Mwaka [[1969]] Bibi Titi Mohammed alikamatwa na mwaka uliofuata alifikishwa [[Mahakama|mahakamani]] kwa kosa la kula [[njama]] ya kutaka kupindua [[serikali]]. Katika [[kesi]] hiyo, Bibi Titi alikuwa ni mwanamke pekee katika washtakiwa 7. Baada ya kesi hiyo kusikilizwa alipatikana na hatia na kuhukumiwa [[kifungo cha maisha]]. Hata hivyo, mwaka [[1972]] alisamehewa na rais [[Julius Nyerere]].
 
Juu ya kutolewa kwake, Mohammed aliongoza [[maisha]] yake akiwa mpweke. [[Mume]] wake alimtelekeza wakati wa kesi, ushirika wake wa kisiasa ukanyang'anywa, na [[Rafiki|marafiki]] zake wengi wakamlaani.
 
Juu ya kutolewa kwake, Mohammed aliongoza [[maisha]] yake akiwa mpweke. [[Mume]] wake alimtelekeza wakati wa kesi, ushirika wake wa kisiasa ukanyang'anywa, na [[Rafiki|marafiki]] zake wengi wakamlaaniwakamlani.
Mnamo mwaka wa [[1991]], wakati [[Tanzania]] ikisherekea miaka 30 ya uhuru, Bibi Titi ameonekana kwenye [[maandishi]] ya [[chama tawala]] kama "Shujaa wa Kike Aliyepigania Uhuru".
 
Mnamo mwaka wa [[1991]], wakati [[Tanzania]] ikisherekea miaka 30 ya uhuru, Bibi Titi ameonekana kwenye [[maandishi]]makaratasi ya [[chama tawala]] kama "Shujaa wa Kike Aliyepigania Uhuru".
[[Tarehe]] [[5 Novemba]] [[2000]] Mohammed alifariki kwenye [[hospitali]] ya Net Care Hospital [[Mji|mjini]] [[Johannesburg]] ambapo alikuwa akitibiwa.<ref>[http://www.hartford-hwp.com/archives/36/342.html Makala kuhusu kufa kwa Mpigania Uhuru Bi. Titi Mohammed]</ref>
 
[[Tarehe]]Mnamo tar. [[5 Novemba]] [[2000]] Mohammed alifarikiamekufa kwenye [[hospitali]] ya Net Care Hospital [[Mji|mjini]] [[Johannesburg]] ambapo alikuwa akitibiwa.<ref>[http://www.hartford-hwp.com/archives/36/342.html Makala kuhusu kufa kwa Mpigania Uhuru Bi. Titi Mohammed]</ref>
Moja kati ya [[Barabara|mabarabara]] makubwa ya [[Jiji|jijini]] [[Dar es Salaam]] limepewa [[jina]] la Mohammed kwa [[heshima]] ya mafaniko makubwa aliyoyafanya wakati wa [[mbio]] za kutafuta uhuru wa Mtanzania.
 
Moja kati ya [[Barabara|mabarabara]] makubwa ya [[Jiji|jijini]]mjini [[Dar es Salaam]] limepewayamepewa [[jina]] la Mohammed kwa [[heshima]] ya mafaniko makubwa aliyoyafanya wakati wa [[mbio]] za kutafuta uhuru wa Mtanzania.
 
== Marejeo ==
Line 34 ⟶ 35:
* http://www.gwsafrica.org/knowledge/bibi.html
* http://www.nationaudio.com/News/EastAfrican/081199/Features/PA3.html
 
 
{{Mbegu-mwanasiasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Bibi Titi Mohammed}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1926]]
[[Jamii:Waliofariki 2000]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:WanasiasaWaliozaliwa wanawake Tanzania1926]]
[[Jamii:Wanawake wa Tanzania]]
[[Jamii:Watu kutoka Dar es Salaam]]
[[Jamii:WaliozaliwaWaliofariki 19262000]]
[[Jamii: Wanasiasa wanawake Tanzania]]
[[Jamii: Wanawake wa Tanzania]]