Lishe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Cucurbita 2011 G1.jpg|thumb|[[Matunda]] mengi yanaboresha lishe.]]
[[File:Carl_von_Voit.jpg|thumb|right|alt=Shoulder high portrait of white haired man with a mustache and beard wearing a suit and bow tie|[[Carl von Voit]] anahesabiwa kama baba wa lishe ya kisasa.]]
'''Lishe''' (kutoka [[kitenzi]] "kula" kikinyambuliwa kama "kulisha"; kwa [[Kiingereza]]: [[:en:Nutrition|Nutrition]]) ni [[tawifani]] la [[sayansi]] ambalo hufafanua uwiano wa [[virutubishi]] na [[madini]] katika [[vyakula]]. Uwiano huu huangaliwa kati ya [[uzazi]], kukua kwa [[kimo]], [[afya]] na [[magonjwa]].
 
Lishe huhusisha kuliwa kwa chakula, madini na virutubishi kuchukuliwa [[Mwili|mwilini]], madini na virutubishi kutumiwa na [[seli]] za mwili, hali kadhalika kuondolewa kwa [[uchafu]] katika mwili.