Mkataba wa Helgoland-Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{History of Tanzania}}
'''Mkataba baina ya Uingereza na Ujerumani kuhusu Afrika na Helgoland (kifupi mkataba wa Helgoland-Zanzibar)''' ulifanywa kati ya [[Ujerumani]] na [[Uingereza]] tarehe [[1 Julai]] [[1890]]. Pande zote mbili zilielewana juu ya mipaka ya ma[[koloni]] yao au maeneo walimotaka kuwa na [[athira]] kuu katika [[Afrika]].
 
[[Mkataba]] ulihusu maeneo katika [[Afrika ya Mashariki]], [[Afrika ya Kusini-Magharibi]] (leo [[Namibia]]) na [[Afrika ya Magharibi]] ([[Togo]] ya leo) pamoja na [[kisiwa]] cha [[Helgoland]] mbele ya [[pwani]] ya Ujerumani katika [[Bahari ya Kaskazini]].