Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 26:
* Termopsidae
}}
'''Mchwa''' ni [[wadudu]] wadogo wa [[oda ya chini]] [[Isoptera]] katika [[oda]] [[Blattodea]] wanaoishi kwa makoloni makubwa katika [[kichuguu|vichuguu]]. Kuna aina ya mchwa ambayo huishi ndani ya mbao au miti. Takriban [[spishi]] zote hula [[ubao]].
 
Kila [[koloni]] lina [[malkia (mdudu)|malkia]], [[mfalme (mdudu)|mfalme]], [[askari (mdudu)|askari]] na [[wafanyakazi (mdudu)|wafanyakazi]].<ref>{{Cite web|url=https://www.nationalgeographic.com/animals/invertebrates/group/ants/|title=Ants {{!}} National Geographic|date=2011-05-10|work=Animals|accessdate=2019-02-13}}</ref> Askari na wafanyakazi hawana [[mabawa]] lakini malkia na mfalme waliwahi kuwa na mabawa walipokuwa [[vijana]]. Mfalme anamtia malkia [[mimba]] na huyu anazaa [[yai|mayai]] mengi sana. Askari wanalinda kichuguu na wafanyakazi wanafanya kazi nyingine zote.
Mstari 42:
 
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]]. Kwa wale wanaoishi ndani ya mbao na kula vifaa vya mbao nyumbani huleta pia tatizo la uchafu kutokana na kinyesi chao.<ref>[https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house/ Kuhusu kinyesi cha mchwa]</ref> Kwa hiyo, watu wengi hutafuta madawa ya kuua wadudu. Wanaofanya taaluma hiyo kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili aweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.
 
 
==Spishi kadhaa za Afrika==