Roho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1031380 lililoandikwa na 156.159.100.74 (Majadiliano)
Tag: Undo
No edit summary
Mstari 6:
 
Pengine roho inafikiriwa kueleza tofauti kubwa ambayo inajitokeza kati ya binadamu na [[sokwe]] upande wa [[akili]] na utendaji, na ambayo haielezwi vya kutosha na tofauti katika [[DNA]] zao.
Inasadikiwa kuwa mtu ni roho. Naye anayo nafsi na hukaa ndani ya mwili.
 
Roho ndiyo sehemu bora zaidi ya mwanadamu na husadikiwa kuwa haifi bali hudumu milele. Roho humuunganisha mtu na ulimwengu wa kiroho mbao aghalabu huwa ni ulimwengu usioonekana kwa macho ya kawaida ya kimwili.
{{mbegu-dini}}