Kaa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Ebenezer Mlay moved page Saratani (kundinyota) to Kaa (kundinyota) over redirect
No edit summary
Mstari 4:
[[Picha:Cancer constellation map.png|400px|thumb|Ramani ya Saratani - Cancer jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini]]
 
'''SarataniKaa''' (pia: KaaSaratani au '''[[:en:Cancer (constellation)|Cancer]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cancer" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Cancris" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cancris, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni [[kundinyota]] ya [[zodiaki]]. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
[[Nyota]] za SarataniKaa huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi.
Kwa hiyo kundinyota "SarataniKaa" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.
 
==Jina==
Mstari 21:
 
== Mahali pake ==
SarataniKaa iko angani kwenye mstari wa [[Zodiaki]] kati ya [[Jauza (kundinyota)| Jauza]] ''([[:en:Gemini|Gemini]])'' upande wa magharibi na [[Asadi (kundinyota)| Asadi]] ''([[:en:Leo|Leo]])'' upande wa mashariki.
 
== Magimba ya angani ==
SarataniKaa haina nyota angavu sana si rahisi kuiona. Nyota angavu zaidi ni Beta Cancri yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa 3.8 mag. Umbali wake na dunia ni [[miaka ya nuru]] 230. Kuna [[fungunyota]] moja inayoonekana kwa macho matupu hii ni [[M 44]] inayoitwa pia Praesepe yenye mwangaza unaoonekana wa 3.7 ikionekana kama doa dogo angavu.
 
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="margin-left:0.5em; background:#CDC9C9;"
Mstari 95:
 
 
{{Commons|Cancer (constellation)|SarataniKaa (Kundinyota)}}
 
{{Kundinyota za Zodiaki}}