Kaa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
 
==Jina==
SarataniMabaharia ilijulikanaWaswahili kwawaliita jinanyota hilihizi kwaSaratani miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyotawakizitumia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina la Saratani linatokana na Kiarabu <big>سرطان </big> ''sartan'' linalomaanisha kaa<ref>Ugonjwa wa saratani au kansa ulipokea jina lake kwa sababu matibabu wa Ugiriki ya Kale waliona uvimbe wake unafanana na miguu ya mnyama kaa.</ref>. Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Wagiriki wa Kale]] waliosema Καρκίνος ''karnikos'' kwa maana hiyohiyo na hao walipokea kundinyota hii tayari kutoka [[Babeli]] lakini Wababeli waliiona kama alama ya kobe maji.
Mstari 18:
Katika vitabu kadhaa vya shule jina la Saratani limetumiwa kutaja sayari ya [[Zohali]] kwa kulichanganya na matamshi ya jina la Kiingereza "Saturn".
 
Jina la kundinyota hilizamani ni sawa na ugonjwa wa [[saratani]] unaoitwa pia "kansa". Sababu yake ni ya kwamba matibabu wa kale walifananisha uvimbe wa ugonjwa na mnyama kaa na hili ni pia maana ya neno saratani.
 
== Mahali pake ==