Mizani (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
==Jina==
Mizani ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku. Neno Mizano linatokana na Kiarabu <big>ميزان </big> ''mizan'' ambalo linamaanisha "mizani". Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Waroma wa Kale]] waliosema Libra ("mizani"). Kati ya mataifa ya kale mara nyingi nyota za Mizani zilihesabiwa kuwa sehemu ya [[Akarabu (kundinyota)|Akarabu (nge)]], pamoja na kuangaliwa kama kundi la pekee.<ref> Hinkley, Star-names and their meanings 269 ff </ref> Ptolemaio alitumia jina la Χηλαι ''khelai'' inayomaanisha "magando" yaani magando ya nge lakini aliiorodhesha kama kundinyota yala pekee<ref>Toomer (1984), uk. 371</ref>. Hii ni pia sababu ya kwamba nyota mbili abngavu zaidi bado zinaitwa "Zubani" yaani magando ya nge.
 
== Mahali pake ==
Mstari 85:
* Toomer, G.J. : Ptolemy's Almagest, translated and annotated by G.J. Toomer, London 1984, ISBN 0-7156-1588-2 [https://ia800800.us.archive.org/22/items/PtolemysAlmagestPtolemyClaudiusToomerG.5114/Ptolemy%27s%20Almagest%20-%20Ptolemy%2C%20Claudius%20%26%20Toomer%2C%20G._5114.pdf online hapa]
 
{{Kundinyota zala Zodiaki}}
[[Jamii:Kundinyota zala Zodiaki]]
{{wikinyota}}