Tofauti kati ya marekesbisho "Kinyonga (kundinyota)"

no edit summary
 
==Jina==
Kinyonga inapatikana kati ya kundinyotamakundinyota zilizobuniwayaliyobuniwa tangu mabaharia Wazungu walipozunguka Dunia yote katika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. Hazikutajwa katika vitabu vya Wagiriki wa Kale au vya Waarabu. Kundinyota hiihili ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]]. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya [[Johann Bayer]]<ref>Allen (tazama marejeo) hakuwa na habari za Placius hivyo aliandika ni Bayer aliyetangaza Kinyonga mara ya kwanza.</ref>.
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] la '' Het Chameljoen '' ([[Kinyonga]]) iliyotajwa baadaye kwa jina la Kigirikiki „Chamaeleon“.
 
Leo iko pia katika orodha ya kundinyotamakundinyota 88 ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi rasmi ni ‘Cha’.
 
==Nyota==
2,238

edits