Washaki (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
==Mahali pake==
Washaki inapakana na kundinyotamakundinyota zaya [[Twiga (kundinyota)|Twiga]] (Camelopardalis), [[Hudhi (kundinyota)|Hudhi]] (Auriga), [[Jauza (kundinyota)|Jauza (Mapacha)]] (Gemini), [[Saratani (kundinyota)|Saratani (Kaa)]] (Cancer). [[Asadi (kundinyota)|Asadi (Simba)]] (Leo) na Dubu Mkubwa (kundinyota)|Dubu Mkubwa]] (Ursa Major). Iko karibu na [[ncha ya anga]] ya kaskazini. Nyota angavu ya [[Ayuki]] ([[ing.]] [[:en:Capella|Capella]]) iko jirani.
 
==Jina==
Kundinyota hiihili haikujulikanahalikujulikana kwa Wagiriki wa Kale kwa sababu nyota zake ni hafifu sana. Baada ya kuanzishwa huko Ulaya ilitambuliwa pia na Waarabu kwa tafsiri <big>وشق</big> ''washaq'' na hili lilijulikana pia kati ya mabaharia Waswahili kama Washaki<ref>Knappert 1993, Swahili names of stars, planets and constellations</ref> ingawa [[jenasi]] hii ya paka wa pori haipatikani Afrika.
 
Lynx - Washaki ni kundinyota zilizoanzishwaliloanzishwa na mwanaastronomia [[Johannes Hevelius]] wa [[Danzig]] (Gdansk) katika mwaka [[1690]] BK. Akiwa mpika pombe na mfanyabiashara tajiri aliyeshika kwa muda pia umeya wa mji wake alikuwa hasa maarufu kwa kuangalia, kupima na kuorodhesha nyota pamoja na mke wake [[Elisabeth Hevelius]]<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/startales1d.htm The star catalogue and atlas of Johannes Hevelius], tovuti ya Ian Ridpath "Star Tales", iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Hevelius aliyeandika kwa Kilatini alichagua jina “Lynx” ambacho ni jenasi wa pakamwitu mkubwa katika [[Eurasia]]. Mpakamwitu huyu ni maarufu kwa macho yake makali na hapo chaguo la jina ni changamoto kwa watazamaji wa nyota kuwa na „macho ya pakamwitu“ ili waweze kutambua nyota hizi ambazo zote ni hafifu sana<ref>Richard Hinckley Allen: Star-Names and their Meanings, uk 280</ref>.
 
Washaki-Lynx ipo kati ya kundinyotamakundinyota 88 zinazoorodheshwayaliyoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Lynx. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Lyn'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==