Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 19:
== Mfano wa Jabari (''Orion'') ==
Picha za kundinyota
[[Jabari (kundinyota)|Jabari]] (''Orion'') katika makala hii zinaonyesha njia kuanzia kutazama nyota angani hadi kufikia wazo la kundinyota. <br/> 1. Jabari inaonekana vizuri kwa sababu kwanza, kuna nyota tatu zinazokaa katika mstari. Juu yake upande wa kushoto kidogo ni nyota mbili zinazong'aa sana. Chini ya mstari wa nyota tatu kuna nyota mbili au tatu (inategemea ubora wa macho) za karibu sana. Halafu chini yake tena kuna nyota mbili za mbali kidogo zinazong'aa na kufanana na zile mbili za juu. Kama giza linaongezeka, nyota zaidi zinazoonekana.<br/>
Line 36 ⟶ 39:
Baada ya uenezaji wa mataifa ya Ulaya funiani kupitia wapelelezi kama [[Kristoforo Kolumbus]], [[Vasco da Gama]], [[Ferdinand Magellan]] na [[Pieter Dirkszoon Keyser]] wanaastronomia wa Ulaya walipokea taarifa na ramani za nyota za nusutufe ya kusini ya dunia na kuongeza kundinyota kwa ajili ya nyota ambazo hazikujulikana kwao bado. Hapo alikuwa hasa Mholanzi [[Petrus Plancius]] aliyetangaza kundinyota mpya 12 kwenye [[globu ya nyota]] yake.
Mnamo mwaka 1603 Mjerumani [[Johann Bayer]] alibuni mfumo wa kutaja nyota ambao kimsingi unaendelea kutumiwa hadi leo<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/bayer%20southern.htm Johann Bayer’s southern star chart ]</ref>. Alipanga nyota zilizoonekana na alizojua kwa kundinyota
Bayer hakupanga ufuatano kikamilifu jinsi sisi tunavyoona mwangaza leo hii. Wakati mwingine alipanga nyota zenye mwangaza wa kufanana pamoja na kuzipa herufi kuanzia kushoto kwenda kulia au kutoka juu kwenda chini.
Kama kundinyota
[[Kantarusi]] ([[:en:Centaurus]]). [[Picha:Constellations ecliptic equirectangular plot.svg|400px|thumb|Mpangilio wa anga lote kwa kundinyota kufuatana na Delporte na [[Ukia]]]].
Line 46 ⟶ 50:
==Matumizi ya kundinyota katika astronomia==
Astronomia imeshatambua ya kwamba kundinyota
Mfano mashuhuri ni nyota iliyo karibu na jua letu katika [[anga ya ulimwengu]] ambayo ni [[Rijili Kantori]] hutajwa kama "[[Alpha Centauri]]" maana ni nyota iliyohesabiwa kama nyota ya kwanza katika eneo la kundinyota "Centaurus" (swa. [[Kantarusi (kundinyota)|Kantarusi]]).
|