Twiga (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
==Jina==
Twiga ni kati ya kundinyota zilizobuniwalililobuniwa tangu mabaharia Wazungu walizunguka dunia yote yaani karne ya 16 na hapo wanaastronomia wa Ulaya walilenga kuchora ramani ya nyota zote. Wagiriki wa Kale hawakujaribu kupanga nyota zake hafifu kati ya kundinyota walizojua. Mholanzi [[Petrus Plancius]] aliwahi kupokea taarifa ya mabaharia waliochora nyota za kusini halafu akajitahidi kujaza eneo lote la angani kwa kupanga nyota zote kwa kundinyota kwenye [[globu ya nyota]] yake. Hapo alitambua pengo kaskazini akaunda kundinyota zala Twiga na [[Munukero (kundinyota)|Munukero]] (Monoceros).
 
Plancius alitumia jina la Camelopardalis kwa mnyama wa [[twiga]] maana Wazungu hawakujua mnyama huyu na kutokana na maelezo waliona ana shingo ndefu kama [[ngamia]] (''camel'') halafu madoa kama [[chui]] (''pardalis'' kwa [[Kigiriki]]).