Nyoka Maji (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
==Mahali pake==
Nyoka Maji ipo karibu [[ncha ya anga]] ya kusini. Inapakana na kundinyota zala [[Meza (kundinyota)|Meza]] (''[[:en: Mesa|Mesa]]''), [[Nahari (kundinyota)|Nahari ]] (''[[:en: Eridanus|Eridanus]]''), [[Saa (kundinyota)|Saa]] (''[[:en: Horologium|Horologium]]''), [[Nyavu (kundinyota)|Nyavu]] (''[[:en:Reticulum|Reticulum]]''), [[Zoraki (kundinyota)|Zoraki]] (''[[:en:Phoenix|Phoenix]]''), [[Tukani (kundinyota)|Tukani]] (''[[:en:Tucana|Tucana]]''), [[Thumni (kundinyota)|Thumni]] (''[[:en:Octans|Octans]]'').
 
==Jina==
Nyoka Maji ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu walizunguka Dunia yote yaani karne ya 16. Hazikutajwa katika vitabu vya Wagiriki wa Kale au vya Waarabu. Kundinyota hiihili ilielezwalilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] iliyoonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]] na kuingizwa baadaye katika ramani ya nyota ya [[Johann Bayer]] iliyokuwa muhimu kwa elimu ya nyota<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/bayer%20southern.htm Johann Bayer’s southern star chart ], tovuti "Star Tales" ya Ian Ridpath, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] “Waterslang” (nyoka maji) liliyotajwa baadaye kwa jina la Kigiriki "Hydrus“ ambalo kisarufi ni umbo la kiume la jina Hydra ([[Shuja (kundinyota)|Shuja]]), kundinyota kubwa ya [[nusutufe ya kaskazini]].