Dubu Mdogo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
==Mahali pake==
Dubu Mdogo iko karibu na ncha ya anga ya kaskazini; kundinyota la jirani ni [[Dubu Mkubwa (kundinyota)|Dubu Mkubwa]] ''([[:en:Great Bear| Great Bear]])'', [[Kiausi (kundinyota)|Kifausi]] (''[[:en: Cepheus|Cepheus]]'') na [[Twiga (kundinyota)| Twiga]] (''[[:en: Camelopardalis| Camelopardalis]]''). Kutokana na mahali pake karibu na [[ncha ya anga]] ya kaskazini ni nyota zake za kusini kabisa tu zinazopita ikweta kwa mtazamaji aliye [[Tanzania]].
 
==Jina==