Kaa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
[[Picha:Cancer constellation map.png|400px|thumb|Ramani ya Saratani - Cancer jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini]]
 
'''Kaa''' (pia: Saratani au '''[[:en:Cancer (constellation)|Cancer]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cancer" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Cancris" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cancris, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni [[kundinyota]] yala [[zodiaki]]. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
[[Nyota]] za Kaa huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi.
Kwa hiyo kundinyota "Kaa" inaonyeshalinaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.
 
==Jina==
Mabaharia Waswahili waliita nyota hizi Saratani wakizitumia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina la Saratani linatokana na Kiarabu <big>سرطان </big> ''sartan'' linalomaanisha kaa<ref>Ugonjwa wa saratani au kansa ulipokea jina lake kwa sababu matibabu wa Ugiriki ya Kale waliona uvimbe wake unafanana na miguu ya mnyama kaa.</ref>. Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Wagiriki wa Kale]] waliosema Καρκίνος ''karnikos'' kwa maana hiyohiyo na hao walipokea kundinyota hiihili tayari kutoka [[Babeli]] lakini Wababeli waliiona kama alama ya kobe maji.
 
Katika unajimu wa kisasa katika Afrika ya Mashariki jina "Saratani" limesahauliwa ikiwa kundinyota inaitwalinaitwa kwa tafsiri tu "Kaa".
 
Katika vitabu kadhaa vya shule jina la Saratani limetumiwa kutaja sayari ya [[Zohali]] kwa kulichanganya na matamshi ya jina la Kiingereza "Saturn".
Mstari 97:
{{Commons|Cancer (constellation)|Kaa (Kundinyota)}}
 
{{Kundinyota zala Zodiaki}}
[[Jamii:Kundinyota zala Zodiaki]]