Jabari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Jabari" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 9:
 
==Nyota==
Jabari ni kati ya makundinyota yanayoonekana vemavyema kwenye [[angakusi]] na pia [[angakaskazi]] ya Dunia. Nyota [[Saba (namba)|saba]] angavu sana zinakumbukwa kirahisi na watazamaji wa anga.
 
Nyota [[nne]] za [[Rijili ya Jabari]] (Rigel), [[Ibuti la Jauza]] (''Betelgeuse''), Bellatrix and Saiph zinafanya [[pembenne]], na katikati kuna safu ya nyota [[tatu]] za karibu zinazoitwa "ukanda" ambazo ni Alnitak, Alnilam na Mintaka (ζ, ε na δ Orionis). Chini ya nyota za ukanda kuna nyota angavu inayotambuliwa kwa [[darubini]] ndogo kuwa [[nebula]] angavu, hii ni [[Nebula ya Jabari]] (Orion nebula).