Mbwa Mkubwa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
Mbwa Mkubwa ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina "Mbwa Mkubwa" linatokana na [[mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] iliyoona hapa mbwa anayewinda pamoja na Jabari (Orion) na kumfuata Akarabu (sungura). Baadaye mbwa wa pili alibuniwa na Waroma. <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref> na hapo kundinyotamakundinyota hizihayo mbilimawili ziliitwayaliitwa Mbwa Mkubwa na Mdogo. Majina haya yalitafsiriwa baadaye moja kwa moja kwa [[Kilatini]] kuwa Canis Maior na Minor na baadaye kwa [[Kiarabu]] kuwa الكلب الأكبر ''Al-Kalb al-akbar'' (Mkubwa) na ''al-asgar (Mdogo)''.
 
Mbwa Mkubwa ni kati ya kundinyotamakundinyota zilizotajwayaliyotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia katika orodha ya kundinyotamakundinyota 88 ya [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Canis Maior. Kifupi chake rasmi ni 'CMa'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>