Ndege wa Peponi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
==Mahali pake==
Ndege wa Peponi ikoliko jirani na kundinyota [[Pembetatu ya Kusini (kundinyota)| Pembetatu ya Kusini ]] (''[[:en: Triangulum Australe|Triangulum Australe]]''). Pia ipolipo karibu na Nyota angavu yala [[Rijili Kantarusi]].
==Jina==
Ndege wa Peponi inapatikana kati ya kundi nyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu walipozunguka Dunia yote katika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota ya kusini. Kundinyota hiihili ilielezwalilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea Indonesia zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]].
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] la ''De Paradijs Voghel'' ([[Ndege wa Peponi]], wa paradiso) lililotajwa baadaye na jina la Kigirikiki „Apus“<ref>Bayer aliiiandika kwa jina "Apis Indica" inayomaanisha Nyuki wa Uhindi lakini hapa inaonekana alikosea "apis"= nyuki kwa "avis" = ndege. Johannes Kepler aliandika tayari "Avis Indica". Ling. Wagman, Morton (2003). Lost Stars: Lost, Missing and Troublesome Stars from the Catalogues of Johannes Bayer, Nicholas Louis de Lacaille, John Flamsteed, and Sundry Others. Blacksburg, Virginia: The McDonald & Woodward Publishing Company. pp. 30–32. ISBN 978-0-939923-78-6.</ref> yaani „bila miguu“ kwa sababu wataalamu wa Ulaya waliamini mwanzoni ya kwamba Ndege wa Peponi hawana miguu. Baadaye ndege hawa waliitwa "ndege wa paradiso" kutokana na rangi nyingi za kupendeza walizo nazo. Leo liko kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>