Kondoo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
 
[[Picha:Hamali Aries.png|400px|thumb|Nyota kuu za Kondoo (Hamali - Aries)]]
'''Kondoo''' (pia: '''Hamali''', '''[[:en:Aries|Aries]]''') ni [[kundinyota|kundinyota]] ya [[zodiaki]] linalojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Aries constellation|Aries]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Aries" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Arietis" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Arietis, nk.</ref>. Hamali pia ni jina la kimataifa kwa nyota angavu zaidi kati kundinyota hiihili.
 
[[Nyota]] za Kondoo huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi.
Mstari 14:
<ref>Rogers, John H. 1998. "Origins of the Ancient Constellations: I. The Mesopotamian Traditions". Journal of the British Astronomical Association. 108 1: 9–28. Bibcode:1998JBAA..108....9R.</ref>
 
Katika unajimu wa kisasa katika Afrika ya Mashariki jina "Hamali" limesahauliwa ikiwa kundinyota inatafsiriwalinatafsiriwa tu "Kondoo".
 
== Mahali pake ==
Mstari 84:
== Viungo vya Nje ==
 
{{Kundinyota zala Zodiaki}}
[[Jamii:kundinyota zala Zodiaki]]