Meza (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
==Mahali pake==
Meza ikolipo jirani na kundinyotamakundinyota zaya [[Panji (kundinyota)| Panji]] (Dorado) upande wa kaskazini, [[Nyoka Maji (kundinyota)|Nyoka Maji]] (Hydrus) upande wa kaskazini-magharibi na magharibi, [[Thumni (kundinyota)|Thumni]] (Octans) upande wa kusini, [[Kinyonga (kundinyota)|Kinyonga]] (Chamaleon) upande wa mashariki halafu [[Panzimaji (kundinyota)|Panzimaji]] (Volans) upande wa kaskazini-mashariki
 
==Jina==
Meza ni kati ya kundinyotamakundinyota zilizobuniwayaliyoobuniwa katika enzi ya kisasa. Kama ilivyo kwa nyota nyingine zinazoonekana kwenye anga ya kusini pekee haikujulikana kwa Wagiriki wa Kale wala kwa Waarabu. Kwa hiyo wataalamu wa Ulaya hawakuwa na habari nazo. Kundinyota hiihili ilielezwalilielezwa mara ya kwanza na Mfaransa [[Nicolas-Louis de Lacaille]] wakati wa karne ya 18 kwa jina “Montagne de la Table “ linalomaanisha “Mlima wa Meza“. Hapo alitaka kuheshimu mlima aliouangalia kila siku yaani [[Mlima wa Meza]] uliopo leo hii kwenye mji wa [[Cape Town]].
 
Lacaille alikaa miaka miwili kwenye [[Rasi ya Tumaini Jema]] (Afrika Kusini) alipokuwa akitazama nyota za anga ya kusini ambazo wakati ule zilianza tu kujulikana kati ya wanaastronomia wa Ulaya. Alipima nyota 10,000 kuzipanga katika kundinyotamakundinyota na kutunga majina kwa kundinyota mpya 14<ref>[http://gallica.bnf.fr//ark:/12148/bpt6k35505/f786.vertical Histoire de l'Académie royale des sciences ]; taarifa ya Lacaille katika "Historia ya Akademia ya Kifalme ya sayansi", uk. 589, Tovuti ya Bibliothèque nationale de France (BnF), iliangaliwa Julai 2017</ref>. Jina la Kifaransa lilitafsiriwa kwa [[Kilatini]] na kufupishwa kama "Mensa“(Meza).
 
Meza iko katika kundinyotamakundinyota 88 zinazoorodheshwayaliyooorodheshwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Mensa. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Men'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
==Nyota==
Nyota za Meza ni chache na dhaifu sana. Hakuna nyota iliyo na mwangaza juu ya [[mag]] 5. Nyota angavu zaidi ni Alpha Mensae yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa mag 5.09 ikiwa umbali wa [[miaka ya nuru]] 33 kutoka [[Dunia]].<ref>[ http://simbad.u-strasbg.fr/simbad/sim-basic?Ident=alpha+mensae&submit=SIMBAD+search LTT 2490 -- High proper-motion star"] SIMBAD. Centre de Données astronomiques de Strasbourg. Iliangaliwa Septemba 2017. </ref>