Almagesti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Almagesti" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 16:
*Vitabu 4 + 5: Kuhusu mwendo wa Mwezi, paralaksi yake, ukubwa na umbali kati ya Dunia, Jua na Mwezi
*Kitabu 6: Kuhusu [[kupatwa kwa Jua]] na [[kupatwa kwa Mwezi]]
*Vitabu 7 + 8: Mienendo ya nyota, orodha ya kundinyotamakundinyota na nyota; humo alianzisha utaratibu wa kupanga nyota kufuatana na [[mwangaza unaoonekana]], akitofautisha ngazi 6 za mwangaza
*Vitabu 9–13: vinajadili mienendo ya sayari alizojua yaani zile zinazoonekana kwa macho matupu yaani [[Utaridi]] (Mercury), [[Zuhura]] (Venus), [[Mirihi]] (Mars), [[Mshtarii]] (Jupiter) na [[Zohali]] (Saturn)
Katika Almagesti Ptolemaio alitaja [[kundinyotamakundinyota]] 48 ambazo ni msingi wa kundinyotamakundinyota 88 za kisasa. Pamoja na kundinyotamakundinyota aliorodhesha nyota 1020 na kwa kila nyota aliongeza vipimo vilivyowezesha wasomaji wake kukuta kila nyota kwenye anga.<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/almagest.htm Ptolemy’s Almagest], tovuti ya Ian Ridpath "Star Tales", iliangaliwa Disemba 2017</ref> Leo hii watafiti huamini ya kwamba Ptolemaio mwenyewe alitumia orodha iliyowahi kutungwa miaka 300 kabla yake na [[Hipparchos wa Nikaia|Hipparchos]] pamoja na vipimo vyake. <ref>[http://dioi.org/vols/wc0.pdf Pickering, The Southern Limits of the Ancient Star Catalog and the Commentary of Hipparchos], The International Journal of Scientific History, Vol. 12 2002 Sept ISSN 1041›5440, </ref>
 
Katika Almagesti Ptolemaio alitaja [[kundinyota]] 48 ambazo ni msingi wa kundinyota 88 za kisasa. Pamoja na kundinyota aliorodhesha nyota 1020 na kwa kila nyota aliongeza vipimo vilivyowezesha wasomaji wake kukuta kila nyota kwenye anga.<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/almagest.htm Ptolemy’s Almagest], tovuti ya Ian Ridpath "Star Tales", iliangaliwa Disemba 2017</ref> Leo hii watafiti huamini ya kwamba Ptolemaio mwenyewe alitumia orodha iliyowahi kutungwa miaka 300 kabla yake na [[Hipparchos wa Nikaia|Hipparchos]] pamoja na vipimo vyake. <ref>[http://dioi.org/vols/wc0.pdf Pickering, The Southern Limits of the Ancient Star Catalog and the Commentary of Hipparchos], The International Journal of Scientific History, Vol. 12 2002 Sept ISSN 1041›5440, </ref>
 
==Mapokeo==
Line 28 ⟶ 27:
Umuhimu wa Ptolemaio ulipungua haraka tangu ugunduzi wa darubini ulioleta mlipuko wa elimu ya astronomia. Mfumo wake wa ulimwengu ulitambuliwa kuwa na kosa la kimsingi katika kitabu "De Revolutionibus“ cha [[Nicolaus Copernicus]] aliyetambua ya kwamba Dunia si kitovu cha ulimwengu bali Dunia pamoja na sayari zinazunguka Jua. Hii ilithibitishwa baadaye na [[Galileo Galilei]] na [[Johannes Kepler]].
 
Hata hivyo orodha ya kundinyotamakundinyota 48 ya Ptolemaio katika Almagesti imepokelewa katika orodha rasmi ya kundinyotamakundinyota 88 iliyotolewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] na kuwa msingi wake.
 
==Marejeo==