Majina ya kisayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
Katika masomo mengine yaliyoanza kupanuka katika [[karne ya 18]] na [[Karne ya 19|19]] kuna pia [[istilahi]] nyingi zenye [[asili]] ya Kilatini. Kwenye [[astronomia]] [[wataalamu]] wa [[Ulaya]] walipokea sehemu kubwa ya [[elimu]] yao ya awali kutoka kwa [[Waislamu]] waliowahi kutunza [[maarifa]] ya [[Wagiriki wa Kale]] kwa lugha ya [[Kiarabu]]. Hivyo [[nyota]] nyingi zilizojulikana tangu zamani zinatajwa katika lugha ya kitaalamu ya kimataifa kwa majina yenye asili ya Kiarabu. Mifano ni [[:en:Betelgeuse]] (), [[:en:Rigel]] () na [[:en:Altair]] (). Zilizotambuliwa baadaye zilipewa majina hasa kutoka [[mitholojia ya Kigiriki]] na [[mitholojia ya Kilatini|Kilatini]].
 
Pamoja na majina ya Kiarabu au Kilatini, nyota hutajwa pia kwa [[kundinyota]] zilimoonekana pamoja na [[herufi ya Kigiriki]] inayohesabu kiasi cha [[uangavu]] wa nyota katika kundi lake. Mfano: [[Alfa Centauri]] <ref>Jina la Kiswahili ni [[Rijili Kantori]]</ref>, yaani nyota angavu zaidi katika kundinyota yala [[:en:Centaurus]] ([[Kantarusi]]) na [[Beta Centauri]] ambayo ni nyota angavu ya pili katika Kantarusi.
 
Tangu matumizi ya mitambo ya kisasa yalipoanza [[idadi]] ya nyota zilizotambuliwa iliongezeka mara nyingi na hapo kuna orodha mbalimbali zinazotumia [[namba]] kwa nyota zote. Orodha ya kisasa zaidi ni "Guide Star Catalog II" iliyopatikana kwa kutumia matokeo ya [[ugunduzi]] wa [[Darubini ya Angani ya Hubble]] na kutaja nyota na [[Gimba la angani|magimba]] mengine 945,592,683.<ref>{{cite journal | title=The Second-Generation Guide Star Catalog: Description and Properties