Antara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Akarabu_Nge_Scorpius.png|400px|thumb|Antara (Antares) katika kundinyota yakelake yala Akarabu (pia: Nge) – Scorpius jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji wa Afrika ya Mashariki]]
[[Picha: Nyota jitu kuu na jitu.png|400px|thumb|Ulinganifu wa ukubwa baina ya Antares (Antara), Simaki (Arcturus9 na Jua]]
'''Antara''' (kwa [[Kiingereza]] na [[Kilatini]] '''Antares'''; pia '''<big>α</big> Alpha&nbsp;Scorpii''', kifupi '''Alpha Sco''', '''α&nbsp;Sco''') ni [[nyota]] angavu zaidi katika [[kundinyota]] la [[Nge (kundinyota)|Nge (pia: Akarabu)]] (''[[:en:Scorpius (constellation)|Scorpius]]''). Ni pia nyota angavu ya 15 kwenye [[anga]] la [[usiku]]. [[Mwangaza unaoonekana]] unacheza kati ya mag 0.75 na 0.95.
Mstari 8:
Kwa matumizi ya kimataifa Umoja wa Kimataifa wa Astronomia ulifuata mapokeo ya Kigiriki na kuorodhesha nyota hii kwa jina la "Antares" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref>.
 
Alfa Scorpii (au <big>α</big> Scorpii) ni [[jina la Bayer]] kufuatana na utaratibu ulioanzishwa na Mjerumani [[Johann Bayer]] katika karne ya 17. Inamaanisha ni nyota angavu zaidi (hivyo inatajwa kwa herufi ya kwanza kwenye alafabeti ya Kigiriki) katika kundinyota yala "Scorpius" (kwa Kiswahili Akarabu au Nge).
 
==Tabia==