Pembetatu ya Kusini (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
==Mahali pake==
Pembetatu ya Kusini inaonekana vema katika kanda ya [[Njia Nyeupe]], karibu na nyota mashuhuri za [[Alfa Centauri]] (Rijili Kantori) na Beta Centauri kwenye [[Salibu (kundinyota)|kundinyota ya Salibu]]. Iko jirani na kundinyotamakundinyota za [[Pembemraba (kundinyota)| Kipimapembe]] (Norma) upande wa kaskazini, [[Bikari (kundinyota)|Bikari]] (Circinus) upande wa magharibi, [[Ndege wa Peponi (kundinyota)| Ndege wa Peponi]] (Apus) upande wa kusini na [[Madhabahu (kundinyota)|Madhabahu]] (Ara) upande wa mashariki.
 
==Jina==
Pembetatu ya Kusini ni kati ya kundinyotamakundinyota zilizobuniwayaliyobuniwa katika enzi ya kisasa. Kama ilivyo kwa nyota nyingine zinazoonekana kutoka nusutufe ya kusini pekee haikujulikana kwa Wagiriki wa Kale wala kwa Waarabu kwa hiyo wataalamu wa Ulaya hawakuwa na habari nazo.
Inawezekana ya kwamba mbaharia Mwitalia [[Amerigo Vespucci]] aliiona na kueleza katika taarifa moja iliyopotea baadaye. Pembetatu ya Kusini ilionyeshwa mara ya kwanza mnamo 1589 kwenye [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]]. Ilichorwa kikamilifu zaidi katika atlasi ya nyota ya [[Johann Bayer]] iliyoitwa ''[[Uranometria]]'' mnamo 1603 na hapa kutajwa kwa jina lake la sasa yaani Triangulum Australe. <ref>linganisha Moore, Patrick; Tirion, Wil (1997), Cambridge Guide to Stars and Planets, Cambridge, United Kingdom: Cambridge University Press, ISBN 978-0-521-58582-8, uk 120</ref>
 
Pembetatu ya Kusini ipo kati ya kundinyotamakundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Triangulum Australe. Kifupi chake rasmi kufuatana ni 'TrA'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==
Kundinyota hiihili ilipokealilipokea jina lake kutokana na nyota zake tatu angavu zaidi zinazoonekana kwa umbo la pembetatu. Hizi ni <big>α</big> Alfa Trianguli Australis (pia: Atria) pamoja na <big>β</big> Beta na <big>γ</big> Gamma Trianguli Australis. <big>α</big> Alfa Trianguli Australis ni [[nyota jitu]] yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa [[mag]] 1.91 ikiwa na umbali wa [[miaka ya nuru]] 424 kutoka [[Dunia]].<ref>Schaaf, Fred (2008), The Brightest Stars: Discovering the Universe Through the Sky's Most Brilliant Stars, Hoboken, New Jersey: John Wiley and Sons, ISBN 0-471-70410-5, uk. 263–65.</ref>
 
<big>β</big> Beta Trianguli Australis ni [[nyota pacha|nyotamaradufu]] yenye mwangaza wa [[mag]]2.85 ikiwa umbali wa miakanuru 40.