Mwanafarasi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
==Mahali pake==
Mwanafarasi inapakanalinapakana na kundinyotamkundinyota jirani zaya [[Dalufnin (kundinyota)|Dalufnin]] ''([[:en:Delphinus (constellation)|Delphinus]])'', [[Dalu (kundinyota)|Dalu au Ndoo]] ''([[:en:Aquarius (constellation)|Aquarius]])'', [[Farasi (kundinyota)|Farasi]] ''([[:en:Pegasus (constellation)|Pegasus]])'' na [[Mbweha (kundinyota)|Mbweha]] ''([[:en:Vulpecula (constellation)|Vulpecula]])''.
Kundinyota hii iko karibu na nyota angavu sana ya [[Tairi (nyota)|Tairi]] (Altair).
 
Mstari 13:
Waarabu waliipokea hivi na Wagiriki.
 
Equuleus - Mwanafarasi ni kati ya kundinyotamakundinyota zilizotajwayaliyotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia katika orodha ya kundinyotamakundinyota 88 ya Umoja wa kimataifa wa Astronomia kwa jina la Equuleus. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Equ'. <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
==Nyota==