Namba za Flamsteed : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Katika orodha yake nyota zinatajwa kwa namba na kundinyota. Kwa njia hii aliweza kutaja kwa namna ya pekee karibu kila nyota inayoonekana kwa macho matupu.
 
Mfumo wa Flamsteed unafanana na [[jina la Bayer|mfumo wa Bayer]] aliyetumia jina la kundinyota pamoja na [[herufi za Kigiriki]] kwa mfano [[Alfa Centauri]] akipata matatizo katika kundinyotamakundinyota kubwamakubwa ambazoambayo idadi ya nyota inazidi idadi ya herufi za Kigiriki. Hapo mfumo wa Flamsteed haukuwa na mipaka kutaja hata nyota nyingi.
 
Flamsteed alitumia [[uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' wa jina la [[Kilatini]] ya kundinyota akiongeza namba (Mfano: Centaurus - uhusika milikishi "Centauri").