Tinini (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image: Tinini Draco.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Tinini (Draco) katika sehemu
[[Picha:Draco IAU.svg|400px|thumb|Ramani ya Tinini-Draco, kwa macho ya mtazamaji kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] ya Dunia]]
Mstari 7:
Tinini ni jina lililotumiwa tangu zamani na mabaharia Waswahili waliojua njia yao baharini wakati wa usiku wakiangalia nyota<ref>ling. Knappert 1993</ref>. Jina hili waliwahi kupokea kutoka Waarabu walioiita <big>التنين</big> ''al-tinin'' na hili ni tafsiri ya [[Kigiriki]] Δράκων ''drakoon'' (Draco kwa tahajia ya [[Kilatini]]).
Draco ilikuwa moja ya
Katika mitholojia ya Ulaya na [[Mashariki ya Kati]] Tinini au [[dragoni]] ni mnyama mkubwa mwenye umbo kama nyoka au mjusi, akiwa na miguu minne na mabawa mawili anayeweza kutema moto. Katika [[mitholojia ya Kigiriki]] ni [[Herakles]] alipambana pia na dragoni . Kundinyota Rakisi
==Mahali pake==
Tinini - Draco iko katika karibu na [[ncha ya anga]] ya kaskazini, hivyo inaonekana kisehemu tu katika Afrika ya Mashariki na sehemu za nyota zake huwa chini ya upeo wa macho.
Inapaka na
==Nyota==
Tinini - Draco ni kundinyota kubwa
<big>γ</big> Gamma Draconis au “[[Etanin]]" ni nyota angavu zaidi. Ina [[mwangaza unaoonekana]] wa 2.2 ikuwa na umbali unaokadiriwa kuwa [[miaka ya nuru]] 148<ref>[http://www.constellation-guide.com/constellation-list/Draco-constellation/ Draco], tovuti ya Constellation Guide, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>. Mwendo wake katika [[anga la nje]] unaelekea kwetu na katika miaka milioni 1.5 itakaribia hadi umbali wa miaka ya nuru 28 na kuwa nyota angavu kabisa angani<ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/eltanin.html Eltanin (Alfa Draconis)], Tovuti ya Prof. Jim Kaler</ref>.
|