Proxima Centauri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Proxima Centauri ni jina rasmi la nyota hii. Inajulikana pia kama "Alfa Centauri C" maana ni nyota ya tatu katika mfumo wa Alfa Centauri inayoitwa kwa Kiswahili "Rijili Kantori". Rijili Kantori (Alfa Centauri) inaonekana kama nyota moja angavu lakini kwa darubini kubwa inaonekana kuwa mfumo wa nyota 3 zinazoshikamana kwa kuzunguka kitovu cha graviti cha pamoja. Nyota hizi zinatofautishwa kwa kuziita Alfa Centauri A, B, na C.
 
"Proxima Centauri" ni jina la Kilatini lenye maana "proxima"= karibu zaidi na "Centauri" katika [[kundinyotamakundinyota]] ya Centaurus inayojulikana kwa Kiswahili kama "[[Kantarusi]]" au Kantori.
 
==Tabia==