Alfa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
Katika [[Ugiriki ya Kale]] ilihesabiwa pia kama [[namba]] "1".
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za [[Kigiriki]] inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fisikia]].
Katika [[astronomia]] inatumiwa kuanza hesabu ya [[nyota]] katika [[kundinyota]]. Kwa mfano nyota yetu jirani katika [[ulimwengu]] inaitwa "[[Alfa Centauri]]". Imeitwa hivyo kwa sababu inang'aa kushinda nyota zote za kundinyota ya Centaurus. Inayofuata ni "beta Centauri" na kadhalika.
|