Nicolas-Louis de Lacaille : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Lacaille.jpg|240px|thumb|Picha ya Lacaille.]]
'''Nicolas-Louis de Lacaille''' (tamka ''nikola lu-i de lakaiy'', [[Rumigny]], [[Ardennes|departement Ardennes]], [[15 Machi]] [[1713]] - [[Paris]], [[21 Machi]] [[1762]]) alikuwa [[mwanaastronomia]] wa [[Ufaransa]] aliyetunga kundinyotamakundinyota 14 kati ya [[kundinyotamakundinyota]] 88 zaya kisasa, zote kwenye [[Nusutufe ya kusini]] ya [[Dunia]].
 
Lacaille alisoma [[theolojia]] [[Katoliki]] lakini baadaye alikazia [[elimu]] ya [[hisabati]] na [[astronomia]]. Mwaka [[1746]] alikuwa [[profesa]] wa hisabati na hapo alishughulika masahihisho ya orodha za [[nyota]].
Mstari 6:
Mwaka [[1750]] alisafiri hadi [[Afrika Kusini]] na hapo alikaa miaka minne kwenye [[Rasi ya Tumaini Jema]] alitaka kutazama hasa [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi]] na [[sayari]] za [[Zuhura]] na [[Mirihi]]. Alipima pia nyota nyingi za [[anga]] ya [[kusini]] ambazo hazikueleweka kwa [[wanaastronomia]] wa [[Ulaya]] na hapo aliorodhesha nyota karibu 10,000.
 
Alipanga [[majina ya Bayer]] kwa [[Argo (kundinyota)|kundinyota ya Argo]] na kuigawa baadaye kwa kundinyotamakundinyota [[tatu]] mpya za [[Shetri (kundinyota)|Shetri]], [[Mkuku (kundinyota)|Mkuku]] na [[Tanga (kundinyota)|Tanga]].
 
{{Wikinyota}}