Rakisi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Rakisi ni jina lililotumiwa tangu zamani na mabaharia Waswahili waliojua njia yao baharini wakati wa usiku wakiangalia nyota<ref>ling. Knappert 1993</ref>. Jina hili waliwahi kupokea kutoka kwa Waarabu walioiita <big>الرقيس</big> ''al-raqis'' linalomaanisha "mchezaji". Katika umbo la nyota watu wa kale walimwona mtu anayepiga goti moja au mtu anayechezacheza. [[Eratosthenes|Eratosthenes wa Aleksandria]] alikuwa wa kwanza aliyemtaja kwa jina la mshujaa [[Herakles]] wa [[mitholojia ya Kigiriki]]<ref>ling. Allen 1899: Star-Names and their Meanings</ref> lakini ilichukua muda mrefu hadi jina hili lilishinda majina mengine na hivyo aliitwa Hercules kwa [[Kilatini]].
 
Hercules ilikuwa moja ya kundinyotamakundinyota 48 zilizoorodheshwa na [[Klaudio Ptolemaio]] kwa jina la εν γόνασιν en gonasin yaani "mwenye kupiga goti". Ilipokelewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] katika orodha ya kundinyotamakundinyota 88 za kisasa iliyotolewa mwaka 1930. <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Oktoba 2017</ref> Kifupi rasmi ni ‘Her’.<ref>[http://www.ianridpath.com/iaulist1.htm "The IAU list of the 88 constellations and their abbreviations" ya mwaka 1922], kwenye tovuti ya Ian Ridpath, iliangaliwa Mei 2017</ref>
 
Waarabu waliotafsiri orodha ya Ptolemaio waliendelea kumwita ama <big>الجاثي</big> ''al-jathi'' "mpiga goti" au <big>رقيس</big> ''raqis'' "mchezaji" na hivyo "Rakisi" ilifika kwa mabaharia Waswahili.
Mstari 14:
Rakisi - Hercules iko karibu na nyota angavu ya [[Vega]].
Inapakana na kundinyotamakundinyota jirani za [[Tinini (kundinyota)|Tinini]] ''([[:en:Draco (constellation)|Draco]])'', [[Bakari (kundinyota)|Bakari]] ''([[:en:Bootes (constellation)|Bootes]])'', [[Kasi ya Masakini (kundinyota)|Kasi ya Masakini]] ''([[:en:Corona Borealis (constellation)|Corona Borealis]])'', [[Hayya (kundinyota)|Hayya]] ''([[:en:Serpens (constellation)|Serpens]])'', [[Hawaa (kundinyota)|Hawaa]] ''([[:en:Ophiuchus (constellation)|Ophiuchus]])'', [[Ukabu (kundinyota)|Ukabu]] ''([[:en:Aquila (constellation)|Aquila]])'',, [[Sagita (kundinyota)|i]] ''([[:en: Sagitta (constellation)| Sagitta]])'', . [[Mbweha (kundinyota)|Mbweha]] ''([[:en: Vulpecula (constellation)| Vulpecula]])'' na [[Kinubi (kundinyota)|Kinubi]] ''([[:en:Lyra (constellation)|Lyra]])''.
 
Rakisi - Hercules anakaa juu ya Tinini (Draco) akishindana naye katika hadithi ya mitholojia.
Mstari 20:
==Nyota==
[[Picha:Hercules Historical View.png|300px|thumb|Nyota za Rakisi - Hercules zilitazamiwa kama mtu anayepiga goti au akicheza]]
Rakisi - Hercules ni kundinyota kubwa yenyeleyenye nyota nyingi lakini si angavu sana.
 
<big>β</big> Beta Herculis au “[[Kornephoros]]" ni nyota angavu zaidi. Ina [[mwangaza unaoonekana]] wa 2.77 ikuwa na umbali unaokadiriwa kuwa [[miaka ya nuru]] 148<ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/kornephoros.html KORNEPHOROS (Beta Herculis)], tovuti ya Prof. Jim Kaler, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.