Rijili Kantori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
| jina = Rijili Kantori (Alfa Centauri, Rigil Kentaurus)
| picha = Position Alpha Cen.png
| maelezo_ya_picha = Rijili Kantori - Alpha Centauri katika kundinyota yala Kantarusi
| kundinyota = Kantarusi (Centaurus)
| Mwangaza unaonekana = +1.33
Mstari 17:
}}
 
'''Rijili Kantori''' , '''Rijili Kantarusi''' au [[ing.]] '''Alpha Centauri''' ''(pia: Toliman au Rigil Kentaurus)'' ni [[nyota]] inayong'aa sana katika anga ya kusini kwenye [[kundinyota]] yala [[Kantarusi]] ''(pia: [[ing.]] [[:en:Centaurus|Centaurus]])''. Ni nyota ya kungaa sana ya nne angani lakini haionekani kwenye nusudunia ya kaskazini.
 
Alpha Centauri ni nyota ya pekee kwa sababu ni nyota yetu jirani katika anga ina umbali wa [[miakanuru]] 4.2. Inaonekana angani karibu na kundinyota yala Salibu (Crux).
 
== Mfumo wa nyota tatu==