Rijili ya Jabari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Orion constellation map.svg|thumb|350px|Mahali pa Rijili Jabari (=Rigel) katika Jabari - Orion]]
[[Picha:Rigel sun comparison.png|300px|thumb|Ulinganifu wa ukubwa baina ya Rijili Jabari na Jua letu (kushoto)]]
'''Rijili ya Jabari''' ''([[:en:Rigel]])'' ni [[nyota jitu]] katika [[kundinyota]] yala [[Jabari]] ''([[:en:Orion]])''.
 
==Jina==
Jina la Kiswahili ni Rijili ya Jabari linalotokana na [[ar.]] <big>رجل الجبار</big> ''rijil-al-jabar''. Maana ya jina ni "mguu wa jitu" maana mataifa ya kale waliiona kundinyotamakundinyota yote kama picha ya mtu jitu katika anga. Jina la kimagharibi "Rigel"<ref>ni pia jina lililokubaliwa na Umoja wa Kimataifa wa Astronomia, ling. [https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union, iliangaliwa Julai 2017</ref> latokana pia na neno lilelile la Kiarabu kwa "mguu" yaani <big>رجل</big> inayoandikwa kwa herufi za Kilatini ama "rijil" au "rigil". <ref>Herufi ya '''<big><big>ج</big></big>''' kwa kawaida husomwa kama "j" jinsi ilivyo pia kwenye Rasi ya Uarabuni lakini pale Misri matamshi ya "g" ni kawaida. Vokali fupi za i na e hazitofautishwi katika mwandiko wa Kiarabu</ref>.
 
Jina la kitaalamu kufuatana na [[jina la Bayer|mfumo wa Bayer]] ni Beta Orionis kwa maana ya kwamba ilitazamiwa kuwa nyota ya pili katika uangavu kati ya nyota za Jabari (Orion).