Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:

== Mfano wa Jabari (''Orion'') ==
Picha za kundinyota la [[Jabari (kundinyota)|Jabari]] (''Orion'') katika makala hii zinaonyesha njia kuanzia kutazama nyota angani hadi kufikia wazo la kundinyota ambalo ni picha ya mtu.

Picha za kundinyota la

1. Jabari inaonekana vizuri kwa sababu, kwanza, kuna nyota tatu zinazokaa katika mstari. Juu yake upande wa kushoto kidogo ni nyota mbili zinazong'aa sana. Chini ya mstari wa nyota tatu kuna nyota mbili au tatu (inategemea ubora wa macho) za karibu sana. Halafu chini yake tena kuna nyota mbili za mbali kidogo zinazong'aa na kufanana na zile mbili za juu. Kama giza linaongezeka, nyota zaidi zinazoonekana.

[[Jabari (kundinyota)|Jabari]] (''Orion'') katika makala hii zinaonyesha njia kuanzia kutazama nyota angani hadi kufikia wazo la kundinyota.

1. Jabari inaonekana vizuri kwa sababu kwanza, kuna nyota tatu zinazokaa katika mstari. Juu yake upande wa kushoto kidogo ni nyota mbili zinazong'aa sana. Chini ya mstari wa nyota tatu kuna nyota mbili au tatu (inategemea ubora wa macho) za karibu sana. Halafu chini yake tena kuna nyota mbili za mbali kidogo zinazong'aa na kufanana na zile mbili za juu. Kama giza linaongezeka, nyota zaidi zinazoonekana.

2. Watu waliunganisha nyota kwa kuwaza mistari wakaanza kumwona mtu. Nyota tatu za katikati(δ, ε, ζ) ziliitwa ukanda, nyota mbili za kung'aa za juu (α, γ) zikawa mabega ya mtu na nyota mbili za chini (β,κ) miguu yake. Nyota mbili au tatu chini ya "ukanda" (ι, θ) zikatajwa kama upanga unaofungwa kwenye ukanda. Nyota nyingine hafifu zaidi zikaunganishwa katika picha hii: nyota za "π" 1,2,3 zikawa kama ngao; λ kama kichwa.