Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 28:
==Historia ya kundinyota==
[[Tamaduni]] nyingi zilipanga nyota kwa makundi. Kuna [[mapokeo]] tofautitofauti hadi leo kati ya mapokeo ya [[Ustaarabu wa magharibi|Kimagharibi]] (yaani Ulaya pamoja na nchi za Kislamu), ya [[Uhindi|Kihindi]] na ya [[Uchina|Kichina]].
Mpangilio unaotumiwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (UKIA) uliamuliwa mwaka [[1922]] kwenye msingi wa [[elimu ya nyota]] ya [[Ugiriki ya Kale]] jinsi iliyoelezwa wakati wa [[karne ya 2]] [[BK]] katika [[kitabu]] cha [[Almagesti]] cha [[Klaudio Ptolemaio]] wa [[Misri]] alimotaja
Kitabu cha Ptolemaio kilifasiriwa kwa [[Kiarabu]] katika [[karne ya 9]] wakati [[Waislamu]] walitawala sehemu kubwa za nchi zenye utamaduni wa Kigiriki.
Baada ya uenezaji wa mataifa ya Ulaya
Mnamo mwaka 1603 Mjerumani [[Johann Bayer]] alibuni mfumo wa kutaja nyota ambao kimsingi unaendelea kutumiwa hadi leo<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/bayer%20southern.htm Johann Bayer’s southern star chart ]</ref>. Alipanga nyota
Bayer hakupanga ufuatano kikamilifu jinsi sisi tunavyoona mwangaza leo hii. Wakati mwingine alipanga nyota zenye mwangaza wa kufanana pamoja na kuzipa herufi kuanzia kushoto kwenda kulia au kutoka juu kwenda chini.
Kama kundinyota lilikuwa na idadi kubwa ya nyota kushinda idadi ya herufi za [[alfabeti ya Kigiriki]] aliendelea kutumia [[herufi za Kilatini]] kama a-b-c. Mfano mashuhuri ni nyota jirani ya jua letu katika anga la nje, [[Rijili Kantori]] (Alfa Centauri) aliyoiona kama nyota angavu zaidi
[[Picha:Constellations ecliptic equirectangular plot.svg|400px|thumb|Mpangilio wa anga lote kwa
▲[[Picha:Constellations ecliptic equirectangular plot.svg|400px|thumb|Mpangilio wa anga lote kwa kundinyota kufuatana na Delporte na [[Ukia]]]].
Mfumo wa Bayer ulionekana kuwa na kasoro hasa tangu kuboreka kwa darubini kwa sababu idadi ya nyota zilizoweza kutambuliwa iliongezeka mara kwa mara. Hapo kulikuwa na mifumo mbadala iliyofuata kwa mfano ule wa [[namba za Flamsteed]].
|